Ujumbe wa kitabu hiki umejikita sana kwenye kuimarisha uhusiano na ushirika kati ya mwanamke na Mungu, mwanamke na mume wake pamoja na kuwajibika kwenye nafasi kwa ajili ya wenigne.
Kumbuka kua upo hapo ulipo kwa ajili ya wengine, nyuma una watu wengi. Mwandishi amefafanua namna mwanamke anavyotakiwa kutumikia kusudi la Mungu mahali alipo; amekaza kwenye kujenga amani yenye utukufu kwenye ndoa bila kuachana na mwenzi wake wala kutelekeza mwenzi na watoto.
Mwandishi amelenga kuponya jamii ya wanawake kwenye nafasi zao ili wasiangamie bali wamfurahie Mungu hatimaye wafike mbinguni. Soma hiki kitabu ili upate maarifa hatimaye ukawasaidie wengine. Amina.